Namsikitia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani, wanamnanga balaa.

Sasa wameanza kuumbuana, kutajana na kuchomeana utambi, muda sio mrefu huenda wakaanza kuangamizana.

Wenye hekima, mapema sana tulimwambia mama afanye haya kabla mabaya hayajamkuta:
1. Awape watanzania katiba mpya (Hatajuta milele)
2. Ateuwe watu wapya, makini na wasafi (Watamsaidia sana)
3. Aache kabisa kukumbatia makupe, chawa na waovu (Hao watu ni sumu)
4. Asikilize sana watanzania wanasema nini (hasa walalahoi, wapinzani, taasisi za kiraia nk)
5. Asikubali kutishwa na kubabaishwa na makada wa CCM (Yeye ni rais kamili, hakuna mwenye nguvu au mamlaka ya
kuingilia maamuzi yake kikatiba)

Mama yetu akashupaza shingo, ngoma sasa imewamba, inataka kupasuka.

Muda bado upo, nafasi ya kurekebisha bado anayo, watanzania wazalendo wakumuunga mkono tupo ikiwa atabadilika.

Pole mama Samia!
 
Unadhani kwanini Shujaa Magufuli alisema Baadhi ya Mawaziri wamepokea " pumbavu" zake za kutosha? 😂
 
Mhhhhhhh unaweza kukuta ww ndio unamkwaza na maushauri yako
 
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani, wanamnanga balaa.

Sasa wameanza kuumbuana, kutajana na kuchomeana utambi, muda sio mrefu huenda wakaanza kuangamizana.

Wenye hekima, mapema sana tulimwambia mama afanye haya kabla mabaya hayajamkuta:
1. Awape watanzania katiba mpya (Hatajuta milele)
2. Ateuwe watu wapya, makini na wasafi (Watamsaidia sana)
3. Aache kabisa kukumbatia makupe, chawa na waovu (Hao watu ni sumu)
4. Asikilize sana watanzania wanasema nini (hasa walalahoi, wapinzani, taasisi za kiraia nk)
5. Asikubali kutishwa na kubabaishwa na makada wa CCM (Yeye ni rais kamili, hakuna mwenye nguvu au mamlaka ya
kuingilia maamuzi yake kikatiba)

Mama yetu akashupaza shingo, ngoma sasa imewamba, inataka kupasuka.

Muda bado upo, nafasi ya kurekebisha bado anayo, watanzania wazalendo wakumuunga mkono tupo ikiwa atabadilika.

Pole mama Samia!
DP WORLD imeshapigilia Msumari kwenye jeneza, its too late! Note that
 
Ingia Instagram

Chademakaskazini

Lema anavurumisha maguruneti
 
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani, wanamnanga balaa.

Sasa wameanza kuumbuana, kutajana na kuchomeana utambi, muda sio mrefu huenda wakaanza kuangamizana.

Wenye hekima, mapema sana tulimwambia mama afanye haya kabla mabaya hayajamkuta:
1. Awape watanzania katiba mpya (Hatajuta milele)
2. Ateuwe watu wapya, makini na wasafi (Watamsaidia sana)
3. Aache kabisa kukumbatia makupe, chawa na waovu (Hao watu ni sumu)
4. Asikilize sana watanzania wanasema nini (hasa walalahoi, wapinzani, taasisi za kiraia nk)
5. Asikubali kutishwa na kubabaishwa na makada wa CCM (Yeye ni rais kamili, hakuna mwenye nguvu au mamlaka ya
kuingilia maamuzi yake kikatiba)

Mama yetu akashupaza shingo, ngoma sasa imewamba, inataka kupasuka.

Muda bado upo, nafasi ya kurekebisha bado anayo, watanzania wazalendo wakumuunga mkono tupo ikiwa atabadilika.

Pole mama Samia!
hayo ni mawazo yako tu,yuko makini sana na anajua kila kitu,just wait
 
Nawalaani mawaziri wote wanaomtukana Mh. Rais Samia, hawana adabu kabisa naomba Rais amruhusu Makonda awateke wote na kuwaminya nyeti zao kisha awachape viboko 24 hadharani,hawawezi wakamtukana Rais wetu kipenzi na sisi tuwachekee tu.
 
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani, wanamnanga balaa.

Sasa wameanza kuumbuana, kutajana na kuchomeana utambi, muda sio mrefu huenda wakaanza kuangamizana.

Wenye hekima, mapema sana tulimwambia mama afanye haya kabla mabaya hayajamkuta:
1. Awape watanzania katiba mpya (Hatajuta milele)
2. Ateuwe watu wapya, makini na wasafi (Watamsaidia sana)
3. Aache kabisa kukumbatia makupe, chawa na waovu (Hao watu ni sumu)
4. Asikilize sana watanzania wanasema nini (hasa walalahoi, wapinzani, taasisi za kiraia nk)
5. Asikubali kutishwa na kubabaishwa na makada wa CCM (Yeye ni rais kamili, hakuna mwenye nguvu au mamlaka ya
kuingilia maamuzi yake kikatiba)

Mama yetu akashupaza shingo, ngoma sasa imewamba, inataka kupasuka.

Muda bado upo, nafasi ya kurekebisha bado anayo, watanzania wazalendo wakumuunga mkono tupo ikiwa atabadilika.

Pole mama Samia!
serikali ya Dr.Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa serikali madhubuti na imara sana kuwahi kutokea humu nchini 🐒

kwa umahiri wake mkubwa kiutendaji, hahitaji huruma ya yeyote yule. Ana uwezo wa kupanga na kupangua serikali yake, ana dhamira na nia njema zaidi ya kufuatilia waziri gani anafanya nini au anasema nini dhidi yake, anajiamini na anapendwa sana na waTanzania walio wengi 🐒

so,
nothing can or will shake this very able government, under a very able leader, Comrade Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Hivi kwa nini huyo Mwigulu nchemba anamlipa Mange Kimambi mamilioni yote hayo ili amtukane Rais wetu?
 
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani, wanamnanga balaa.

Sasa wameanza kuumbuana, kutajana na kuchomeana utambi, muda sio mrefu huenda wakaanza kuangamizana.

Wenye hekima, mapema sana tulimwambia mama afanye haya kabla mabaya hayajamkuta:
1. Awape watanzania katiba mpya (Hatajuta milele)
2. Ateuwe watu wapya, makini na wasafi (Watamsaidia sana)
3. Aache kabisa kukumbatia makupe, chawa na waovu (Hao watu ni sumu)
4. Asikilize sana watanzania wanasema nini (hasa walalahoi, wapinzani, taasisi za kiraia nk)
5. Asikubali kutishwa na kubabaishwa na makada wa CCM (Yeye ni rais kamili, hakuna mwenye nguvu au mamlaka ya
kuingilia maamuzi yake kikatiba)

Mama yetu akashupaza shingo, ngoma sasa imewamba, inataka kupasuka.

Muda bado upo, nafasi ya kurekebisha bado anayo, watanzania wazalendo wakumuunga mkono tupo ikiwa atabadilika.

Pole mama Samia!
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani, wanamnanga balaa.

Sasa wameanza kuumbuana, kutajana na kuchomeana utambi, muda sio mrefu huenda wakaanza kuangamizana.

Wenye hekima, mapema sana tulimwambia mama afanye haya kabla mabaya hayajamkuta:
1. Awape watanzania katiba mpya (Hatajuta milele)
2. Ateuwe watu wapya, makini na wasafi (Watamsaidia sana)
3. Aache kabisa kukumbatia makupe, chawa na waovu (Hao watu ni sumu)
4. Asikilize sana watanzania wanasema nini (hasa walalahoi, wapinzani, taasisi za kiraia nk)
5. Asikubali kutishwa na kubabaishwa na makada wa CCM (Yeye ni rais kamili, hakuna mwenye nguvu au mamlaka ya
kuingilia maamuzi yake kikatiba)

Mama yetu akashupaza shingo, ngoma sasa imewamba, inataka kupasuka.

Muda bado upo, nafasi ya kurekebisha bado anayo, watanzania wazalendo wakumuunga mkono tupo ikiwa atabadilika.

Pole mama Samia!
Inasikitisha sana kama kuna viongozi wanafadhili mh president atukanwe kama alivyosema yule RC wa arusha , mh president hao ccm hawakupendi cha kufanya kamiisha mchakato wa katiba mpya kutengeneza taifa lenye usawa
 
Ina maana Makonda ana details muhimu kushinda TISS kama ni kweli basi hatuna TISS.
 
Back
Top Bottom