Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninamtabiria huyu mwanadada Zuwena Muhammed(Shishi baby) baada ya miaka mitano atakuwa ni miongoni mwa wasanii wa kike wenye pesa nyingi zaidi hapa nchini.
Kitu kikubwa ambacho kinanisukuma kusema haya ni kutokana na tabia ya kujituma sana huku akiweka aibu pembeni mpaka pale jambo lake alitakalo litakapo fanikiwa.
Mbali na hilo Shishi ndiye msanii wa kike anayependwa zaidi hapa nchini kuliko msanii yeyote yule wa kike ,na yote hii ni kutokana na tabia yake ya kupenda kujichanganya na kila aina ya watu kuanzia wa hali ya chini kabisa mpaka wale wenye mpunga mrefu. Kwa kigezo hiki kwa namna moja au nyingine kinamfungulia milango ya ridhiki kila kukicha.
Mpaka sasa makampuni kadhaa zimejitokeza na nyingine nyingi zinazidi kujitokeza ili kuingia mkataba naye ambapo wanamlipa pesa iliyonona.
1)Hapa akisaini mkataba na TTCL
2)Hiki ni kitabu chake kipya kilichoingia sokoni hivi punde.
Shilole pia ni msanii wa kike anayeoma mbali sana na hilo lilijidhihirisha pale alipokubali kuolewa na fundi gereji ambaye kwa siku kipato chake hakizidi hata elfu 10.
Wengi walimcheka sana Shilole nikiwemo mimi,nilimponda vibaya sana ila kila kukicha amezidi kutu proove wrong kwamba hakukosea kukubali kuolewa na Uchebe ambaye hakuwa na mbele wala nyuma .
Watu wenye pesa zao wamelisumbukia sana penzi la Shilole bila mafanikio yoyote mwisho wa siku akaangukia mikononi mwa Uchebe na tangu aoelewe na Uchebe ,milango ya ridhiki inazidi kumfungukia kila kukicha.
Mungu azidi kum'bariki mwanadada huyu aweze kutimiza mahitaji ya moyo wake ikiwemo kujua kiingereza.View attachment 847507View attachment 847508
Hivi huyo jamaa ni fundi gereji kabisa au ana miliki gereji?fundi gereji
Hivi huyo jamaa ni fundi gereji kabisa au ana miliki gereji?
Sipati picha kitu gani kilichowakutanisha fundi gereji na msanii star 😀😀😀😀...Hapo jamaa inabidi awe mtu wa mazoezi,puturu,mchuzi wa pweza ili aendelee kudumu kwenye kazi ya kuolewa.ni fundi gereji , before hajaolewa na shilole nimeishi nae kitaa kimoja mwananyamala kwa mama zakari, geto langu kwa nyuma ndio alikua anakaa yeye na mke wake ( mama Anuari ) ambae kamuacha baada ya kua na shilole(dah umbea huu)
baada ya kuvishwa pete , akaama m/nyamala mazima!
Daah kutoka Moyoni nampendaga sana huyu dada,hanaga mashauzi ya kif.ala fala anacheka na kila mtu,mbali na hapo akiamua kujichetua kutokana na muktadha wa kazi yake anajichetua kweli....God Bless shishi...hivi unajua kwa nini CMG huwa hawamuachagi kwenye tour za Fiesta?Ninamtabiria huyu mwanadada Zuwena Muhammed(Shishi baby) baada ya miaka mitano atakuwa ni miongoni mwa wasanii wa kike wenye pesa nyingi zaidi hapa nchini.
Kitu kikubwa ambacho kinanisukuma kusema haya ni kutokana na tabia ya kujituma sana huku akiweka aibu pembeni mpaka pale jambo lake alitakalo litakapo fanikiwa.
Mbali na hilo Shishi ndiye msanii wa kike anayependwa zaidi hapa nchini kuliko msanii yeyote yule wa kike ,na yote hii ni kutokana na tabia yake ya kupenda kujichanganya na kila aina ya watu kuanzia wa hali ya chini kabisa mpaka wale wenye mpunga mrefu. Kwa kigezo hiki kwa namna moja au nyingine kinamfungulia milango ya ridhiki kila kukicha.
Mpaka sasa makampuni kadhaa zimejitokeza na nyingine nyingi zinazidi kujitokeza ili kuingia mkataba naye ambapo wanamlipa pesa iliyonona.
1)Hapa akisaini mkataba na TTCL
View attachment 847507
2)Hiki ni kitabu chake kipya kilichoingia sokoni hivi punde.
View attachment 847508
Shilole pia ni msanii wa kike anayeoma mbali sana na hilo lilijidhihirisha pale alipokubali kuolewa na fundi gereji ambaye kwa siku kipato chake hakizidi hata elfu 10.
Wengi walimcheka sana Shilole nikiwemo mimi,nilimponda vibaya sana ila kila kukicha amezidi kutu proove wrong kwamba hakukosea kukubali kuolewa na Uchebe ambaye hakuwa na mbele wala nyuma .
Watu wenye pesa zao wamelisumbukia sana penzi la Shilole bila mafanikio yoyote mwisho wa siku akaangukia mikononi mwa Uchebe na tangu aoelewe na Uchebe ,milango ya ridhiki inazidi kumfungukia kila kukicha.
Mungu azidi kum'bariki mwanadada huyu aweze kutimiza mahitaji ya moyo wake ikiwemo kujua kiingereza.