Namtafuta Asha Dii.....!!!!!

dah,hata mie cjamtia jichon kitambo! pia madame afrodenzi naye anaonekana kwa kubeep sana. wapi mama ASHA Dii tumekumic niaje. . . plz come back!
Uncle Kaizer, mbona siku mi nilitumia hii lugha ulinichapa,
leo charminglady anatumia unamwangalia? double standards?
 
Last edited by a moderator:
Kwa ujumbe wowote kwa AshaDii nitumie PM nitamfikishia. ila unipe na pesa ya vocha, hahahahaha

Ule utaahira wa huyu mtu kutotajwa kwenye thread yoyote mulishauacha, ulikuwa ni ugonjwa mbaya sana mliumwa nyie mamodereta.
Mwanangu Doreen aliwafananisha na NEC ya CCM...
 
Last edited by a moderator:
Mabigi! Yaani were na mfungo Woooooote huu unamtafuta muke wa wenyewe?
Kweli la kuvunda halina ubani
 
Wanajamvi yu wapi mdau huyu, nimemtafuta sana simuoni,nimezunguka mitaa yote oysterbay,mikocheni,buguruni kwa mnyamani, kwa mtogole, masaki,mji kasoro bahari, singida,Arusha e.t.c, nitafutieni mutu hii, ZAWADI NONO ITATOLEWA

Last time alionekana Kwenye Misitu ya Mabwepande uraiani hajaonekana tena Tumuombee aweze kupatikana hai...

Hivi Humu mtu anaweza kupoteza Uhai msijue...
 
ASHADII alisema mwaka huu ni lazima apate toto malaika,
tena anataka maendeleo ya hali ya juu, inawezekana kweli
yuko huko alikomwona PAKAJIMMY maeneo ya mererani anasaka vijisenti.
 
ASHADII alisema mwaka huu ni lazima apate toto malaika,
tena anataka maendeleo ya hali ya juu, inawezekana kweli
yuko huko alikomwona PAKAJIMMY maeneo ya mererani anasaka vijisenti.

Hatukatai, sasa ndo aondoke kimya kimya? hajui watu kama Bishanga walikuwa na malengo nae mazuri tu!
 
Last time alionekana Kwenye Misitu ya Mabwepande uraiani hajaonekana tena Tumuombee aweze kupatikana hai...

Hivi Humu mtu anaweza kupoteza Uhai msijue...

Mungu apishilie mbali, mbona ntamroga yule nanihìi yule Ms**ngi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…