Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sɯnɹoɟ !!ɯɐɾ nɯnႡ nɯnႡUmemfahamia wapi?
Kwa ujumbe wowote kwa AshaDii nitumie PM nitamfikishia. ila unipe na pesa ya vocha, hahahahaha
Afu Kipipi unantamanisha ujue mambo flani?
Kwa ujumbe wowote kwa AshaDii nitumie PM nitamfikishia. ila unipe na pesa ya vocha, hahahahaha
Mabigi! Yaani were na mungo Woooooote huu unamtafuta make we wenyewe?
Kweli la kuvunda halina ubani
LOL.....asante kwa kunipatia kicheko cha daku!
Wanajamvi yu wapi mdau huyu, nimemtafuta sana simuoni,nimezunguka mitaa yote oysterbay,mikocheni,buguruni kwa mnyamani, kwa mtogole, masaki,mji kasoro bahari, singida,Arusha e.t.c, nitafutieni mutu hii, ZAWADI NONO ITATOLEWA
We pombekali umefakamia nin leo?
AD mke wa mtu ujue.
ASHADII alisema mwaka huu ni lazima apate toto malaika,
tena anataka maendeleo ya hali ya juu, inawezekana kweli
yuko huko alikomwona PAKAJIMMY maeneo ya mererani anasaka vijisenti.