Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

wajukuu wote wanakupenda na wanapenda kukaguliwa na wewe. nipe siri ya mafanikio babu Asprin. :bounce:
Hahahaha........ inbox yangu iko wazi kwa ajili yako. Naweza kukufafanulia zaidi kwenye PM...... Come this way Erotica

Hivi kwanini wewe hunipendi kama wajukuu wengine? Au ndo ushakuwa mkubwa?
 
Last edited by a moderator:

Kaaaaah! kumbe ndio maana toka unikague mara ya kwanza hunikagui?

babu mbona mimi I love you. babu mbona mimi thinkin about u and misin ur expert ukaguzi? mwaaaaaah.
 
Bahati nzuri mwenye summary ya hii topic ni Erotica mwenyewe....that list has got about 10 or so names.....hapo chacha. Ila mimi , mmmmmhhhh!

Kirusha roho Fidel80 niachie mimi. hanielewag eti sbb tulionana club ila nyt haikuitika.
 
Last edited by a moderator:
Kaaaaah! kumbe ndio maana toka unikague mara ya kwanza hunikagui?

babu mbona mimi I love you. babu mbona mimi thinkin about u and misin ur expert ukaguzi? mwaaaaaah.

:shock::shock::A S embarassed:😛hoto:
 
Kaaaaah! kumbe ndio maana toka unikague mara ya kwanza hunikagui?

babu mbona mimi I love you. babu mbona mimi thinkin about u and misin ur expert ukaguzi? mwaaaaaah.
Tatizo unasema kwa sauti, watasikia wengine ujue? Haya baada ya kusoma hii posti nenda ukaidiliti kabla hawajatuloga.
 
ushanipata..sifa zote ninazo! Kazi ni Kwakoooo
 
Tatizo unasema kwa sauti, watasikia wengine ujue? Haya baada ya kusoma hii posti nenda ukaidiliti kabla hawajatuloga.

Kumbe hunipendi? mbona wengine hujawahi wambia wafute?

Kwani babu kukagua wajukuu dhambi? :disapointed::disapointed::disapointed:
 
Hahahaha....... wale siwakagui kama navyokukagua wewe.... nakufanyia upendeleo ujue...

Afu kukagua wajukuu si dhambi kwakuwa Sex relieves tension - Love causes it
No multipications kwenye ukaguzi.
Haya nigongee LIKE nipandishe mzuka.
 
Nadhani mmoja kati ya hao ulowataja anaweza kukufaa
 
Hapa dawa ni kuzipata mbegu za watajwa na kuzichanganya for artificial insemination...:yawn:
 
BAK Boyfie nilimchagua kwa vigezo viwili. kwanza he can do it na pili muelewa.

there is mo to life than sex, nje ya sex yeye ni useless kabisa. sitaki wanangu wawe usless waweze tu sex.

....Nimekupata Erotica 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Mwanzo kbs wkt nasomd thread niliogopa sn, kwa kujua mume wa mtoa mada atakua Bushoke flani hv. Asante Erotica, kwa ubunifu wako, nimecheka sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha....... wale siwakagui kama navyokukagua wewe.... nakufanyia upendeleo ujue...

Afu kukagua wajukuu si dhambi kwakuwa Sex relieves tension - Love causes it
No multipications kwenye ukaguzi.
Haya nigongee LIKE nipandishe mzuka.

teh teh teh basi nafuta posti yangu na hii ya kwako.

Nimekugongea like, nyingine nimetuma kwa pm kibao! mwaaaaaaah babu Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo kbs wkt nasomd thread niliogopa sn, kwa kujua mume wa mtoa mada atakua Bushoke flani hv. Asante Erotica, kwa ubunifu wako, nimecheka sana.

Idimi niko kwa ajili yako. teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…