Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Ndahani kirusha roho kama unaelewa yote haya si ndio nipe maujanja?
Mbona wewe umenizidi ujanja tena kwa mbaali kabisa...mi mwendo wa kinyonga ntaweza hizo speed za wakimbia marathon kama wewe? Mzima lakini? Hujaota tena ile ndoto ambayo ulikuwa una cheat?