Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

he he he Kiranga, pole

hawa wanawake wa kisasa wanatoroka wao na mimba sio wale wa zamani walikuwa wakipata mimba wanatorokwa.

Wamejiwezesha!

Mi nikafikiri kuna mtu kakuzalisha halafu kasepa kimtindo Solemba, kakuacha umebeba mabegi uko kwenye mataa mekundu.

Kumbe unatafuta rijali?
 
Last edited by a moderator:

Shida ya tudemu dizain yako ni kudhania kuwa katika mwili wako kitu chenye thamani ni hilo tundu linalokuweka bize wewe na hawa wanaume wavaa hereni. Hata hivyo nikiri makosa kwa kuvamia jukwaa lenu, kwa kweli nimewakosea.

Endeleeni kujipodoa wanawake kwa wanaume huku mkiongea mambo ya kipuuzi mchana kutwa. Ila niwakumbushe tu kuwa mwili wa binadamu uongozwe na ubongo na sio sehemu za siri
 
Mmh dada Kaunga kumbe upo kwenye hii EROTICA-LICIOUS thread?ngoja nitoke usije nisemea kwa mama.Mmh LIWELELO ilumbuye.

Kaka KIKUNGU wewe sintakufanyia intavyuu maana haiswihi, hivyo utapita bila kupingwa ngoja nikupigie pande kwa my sweetie Erotica!
 
Last edited by a moderator:
Mie ndio natangulia kuku pm usihangaike, jinadi hapa hapa kama unaweza teh teh.

..kuna mwanadada kanikataa kisa navutia sana
..nina akili, ukoo unanitegemea kwa ushauri, cdm ndo usiseme. CCm sitaki kuwashauri sababu hawanilipi.
...sichoki haraka kwenye nanii.
.........؛
 
Sifa kubwa ya boyfie ni uelewa. so muelewa yani hama makuu!

Nafikiri atakua tayari mimi nikiwa chumbani na wewe yeye akiwa sebuleni kusubiri matokeo..maana ni muelewa sana.!
 


Poleeee weeee!! Tatizo la vidume dizaini yako. Akikuta dada anajielewa na kujitambua kama mimi

unatishika na kutaka mfafanua in terms ya K yake tu. Maisha yangu ni mazuri, sitegemei mtu, nina akili

zangu nilizojaliwa na Mungu na ninazitumia. Nakua kua ni mzuri, najua kua najiweza, najua kua lolote

ninalo taka nikijituma napata hayo yote huoni umeona utaje tu shimo langu. kama sio kulitamani ni nini?

Kujipodoa sitaacha, it makes me feel good and SEXY! And makes the likes of you melt.......
 
haya ndiyo madhara ya kumkabidhi kichaa rungu kwenye nyumba ya vioo, unajua matokeo yake
 
hili sredi limefikaje page ya sita wakati loya sjachangia?
Erotica nakubipu lakini haupatikani bana. nitaenda kupreeze nyumba ndogo ujue
 
Last edited by a moderator:
Nenda pale "SIMBA PLASTIC"utoe order wakutengenezee mwenye sifa hizo na za ziada nyingi tu lol!
 
hili sredi limefikaje page ya sita wakati loya sjachangia?
Erotica nakubipu lakini haupatikani bana. nitaenda kupreeze nyumba ndogo ujue


klorokwini loya my loya nilianza kuugua hapa. nilikua kila nikikutwangia cm iko busy

kwa hasira nikazima! najuta sasa. come this way hubby naomba u preeze kwangu. mwaaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…