Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Erotica

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
2,513
Reaction score
1,735
Nimeenda park leo baada ya kutoroka kazini na kukuta vi baby vizuri kweli. Nikavitamani na nikaona why not na mimi nizae na niitwe mama. Uwezo wa kulea ninao na niya pia ninayo.

Nataka viwe vi mapacha. Baada ya kwenda home na kumuangalia boyfie nimeona ana mapungufu, anafaa
kuwa baba, ila sio kuni mimba.

Kuna utafiti uliopostiwa na Dr. MziziMkavu ulionesha sifa za mtoto hutegemea sifa wazazi pia.
Tumekubaliana na boyfie nitafute huyo mwanaume na nijipatishe mimba. Baada ya hapo mimi na yeye tutaendelea na mahusiano, vikinoga vya baba na mama kama vilivo noga vya u boyfie na u galfrend tutafunga ndoa.

Natafuta mwanaume mwenye sifa zote ambao ziwe kwa watotot wangu hao. Huyo mwanaume awe na sifa zifuatazo…

Awe mzuri kama kirusha roho changu Ndahani, Charming na lovable kama klorokwini, wawe wanapendwa na opposite sex kama babu Asprin, awe na bahati na pesa kama Bishanga, awe na akili kama Mzee Mwanakijiji, Msiri kama The Boss, ana mvuto kwa jinsia zote kama Kaunga, Mkali kama Invisible, Caring kama Rejao, Mjanja kama Boflo, magnetically Irresistible kama Nyani Ngabu, sauti nzuri na sexy kama fazaa, wa ukweli kama EMT, hasomeki hadi aamue kama Kongosho, creative kama TANMO, macho mazuri kama Erickb52, mpole kama BAK na mwenye busara kama babu Dark City. Awe na bahati kama Mwali.

Kama una hizo sifa niambie.. nitaku pm mwenyewe baada ya kuona kweli nimepata baba watoto wangu.


Mwaaaaaaah. :baby:
 
Natafuta mwanaume mwenye sifa zote ambao ziwe kwa watotot wangu hao. Huyo mwanaume awe
na sifa zifuatazo…

Awe mzuri kama kirusha roho changu @Ndhahani, Charming na lovable kama klorokwini, wawe wanapendwa na opposite sex kama babu Asprin, awe na bahati na pesa kama Bishanga, awe na akili kama Mzee Mwanakijiji, Msiri kama The Boss, ana mvuto kwa jinsia zote kama Kaunga, Mkali kama Invisible, Caring kama Rejao, Mjanja kama Boflo, magnetically Irresistible kama Nyani Ngabu, sauti nzuri na sexy kama fazaa, wa ukweli kama EMT, hasomeki hadi aamue kama Kongosho, creative kama TANMO, macho mazuri kama Erickb52, mpole kama BAK na mwenye busara kama babu Dark City.

Kama una hizo sifa niambie.. nitaku pm mwenyewe baada ya kuona kweli nimepata baba watoto wangu.


Mhhhhh!

Erotica bahati mbaya itabidi usubiri sana...mchumba/baba watoto kama huyu bado hajazaliwa nasikia atazaliwa mwaka 2080...kwani yule aliyeumia nanihii 🙂 ni aje? Hutaki awe Baba watoto wako?
 
Aisee mwenye kwaliti zote hapo juu atakuwa au nitonye au Malaria Sugu, sasa huyo wa pili kumpata rafiki yangu itakuwa so!

Tutaongea PM jinsi nitakavyompa possibly by osmosis 'unisex mvuto' huyo ideal baba twins wako! LOL
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! Erotica bahati mbaya itabidi usubiri sana...mchumba/baba watoto kama huyu bado hajazaliwa nasikia atazaliwa mwaka 2080...kwani yule aliyeumia nanihii 🙂 ni aje? Hutaki awe Baba watoto wako?

BAK mbona wanikatisha tamaa? embu acha kunizingua lazima atakuwepo.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Erotica, Donge nono ndio kama nini? Maana nina hizo sifa zote ulizo taja, and more...


kwa haraka haraka nimependa sauti yako na hilo smile.

Donge nono ni wateve u want u ready Taz?
 
Last edited by a moderator:
kwa haraka haraka nimependa sauti yako na hilo smile.

Donge nono ni wateve u want u ready Taz?
Kumbuka, mi ni msiri kama The Boss, hivo itabidi ujaribu kugundua what I want from you. :A S-coffee:
 
Last edited by a moderator:
Aisee mwenye kwaliti zote hapo juu atakuwa au nitonye au Malaria Sugu, sasa huyo wa pili kumpata rafiki yangu itakuwa so!

Tutaongea PM jinsi nitakavyompa possibly by osmosis 'unisex mvuto' huyo ideal baba twins wako! LOL


teh teh teh. Kaunga kila nikikuona na kusoma post yako unanikosha.

baba watoto lazima umkague na kutoa marks. infwakt utanisaidia kuamua..
 
Last edited by a moderator:
Wenye hizo sifa tupo wachace sana ila sina muda, sorry!
 
teh teh teh. Kaunga

baba watoto lazima umkague na kutoa marks. infwakt utanisaidia kuamua..

It will be my pleasure! Ngoja tupitie kwanza applications, naona zinaanza. LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom