Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not so fast, young Lady. Lazima uoneshe kwanza kama unastahili kubeba mbegu zangu. So what do I want?
Mjanja kama Boflo
Mwaaaaaaah. 👶
Nimeenda park leo baada ya kutoroka kazini na kukuta vi baby vizuri kweli. Nikavitamani na nikaona why not na mimi nizae na niitwe mama. Uwezo wa kulea ninao na niya pia ninayo.
Nataka viwe vi mapacha. Baada ya kwenda home na kumuangalia boyfie nimeona ana mapungufu, anafaa
kuwa baba, ila sio kuni mimba.
Kuna utafiti uliopostiwa na Dr. MziziMkavu ulionesha sifa za mtoto hutegemea sifa wazazi pia.
Tumekubaliana na boyfie nitafute huyo mwanaume na nijipatishe mimba. Baada ya hapo mimi na yeye tutaendelea na mahusiano, vikinoga vya baba na mama kama vilivo noga vya u boyfie na u galfrend tutafunga ndoa.
Natafuta mwanaume mwenye sifa zote ambao ziwe kwa watotot wangu hao. Huyo mwanaume awe na sifa zifuatazo…
Awe mzuri kama kirusha roho changu Ndahani, Charming na lovable kama klorokwini, wawe wanapendwa na opposite sex kama babu Asprin, awe na bahati na pesa kama Bishanga, awe na akili kama Mzee Mwanakijiji, Msiri kama The Boss, ana mvuto kwa jinsia zote kama Kaunga, Mkali kama Invisible, Caring kama Rejao, Mjanja kama Boflo, magnetically Irresistible kama Nyani Ngabu, sauti nzuri na sexy kama fazaa, wa ukweli kama EMT, hasomeki hadi aamue kama Kongosho, creative kama TANMO, macho mazuri kama Erickb52, mpole kama BAK na mwenye busara kama babu Dark City. Awe na bahati kama Mwali.
Kama una hizo sifa niambie.. nitaku pm mwenyewe baada ya kuona kweli nimepata baba watoto wangu.
Mwaaaaaaah. :baby:
We una hatari sana eti unataka awe mjanja kama Boflo,unaujua ujanja wa Boflo lkn?.,utajuta!!!
Umemuona Taz? kama ananivutia fulani hivi. he is quiet a challenge.
Erotica, What else do you need?Nimeenda park leo baada ya kutoroka kazini na kukuta vi baby vizuri kweli. Nikavitamani na nikaona why not na mimi nizae na niitwe mama. Uwezo wa kulea ninao na niya pia ninayo.
Nataka viwe vi mapacha. Baada ya kwenda home na kumuangalia boyfie nimeona ana mapungufu, anafaa
kuwa baba, ila sio kuni mimba.
Kuna utafiti uliopostiwa na Dr. MziziMkavu ulionesha sifa za mtoto hutegemea sifa wazazi pia.
Tumekubaliana na boyfie nitafute huyo mwanaume na nijipatishe mimba. Baada ya hapo mimi na yeye tutaendelea na mahusiano, vikinoga vya baba na mama kama vilivo noga vya u boyfie na u galfrend tutafunga ndoa.
Natafuta mwanaume mwenye sifa zote ambao ziwe kwa watotot wangu hao. Huyo mwanaume awe na sifa zifuatazo…
Awe mzuri kama kirusha roho changu Ndahani, Charming na lovable kama klorokwini, wawe wanapendwa na opposite sex kama babu Asprin, awe na bahati na pesa kama Bishanga, awe na akili kama Mzee Mwanakijiji, Msiri kama The Boss, ana mvuto kwa jinsia zote kama Kaunga, Mkali kama Invisible, Caring kama Rejao, Mjanja kama Boflo, magnetically Irresistible kama Nyani Ngabu, sauti nzuri na sexy kama fazaa, wa ukweli kama EMT, hasomeki hadi aamue kama Kongosho, creative kama TANMO, macho mazuri kama Erickb52, mpole kama BAK na mwenye busara kama babu Dark City. Awe na bahati kama Mwali.
Kama una hizo sifa niambie.. nitaku pm mwenyewe baada ya kuona kweli nimepata baba watoto wangu.
Mwaaaaaaah. :baby:
Yes, but I am not ready to trust you just because you want me to. I need to test your female intuition through some questions first. Sitaki watoto wangu walelewe na mama ambae hawezi ku-anticipate desires of people she is supposed to care about (in this case me, but later it will be them). So, can you guess what my desires are right now?You want to be a father of my twins. uongo?