Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unanikatisha tamaa. Kama umemuona mahali, toa taarifa mkuu kituo cha polisi cha karibu.Huwezi mpata huyu
Tangazeni dauKwanini unanikatisha tamaa. Kama umemuona mahali, toa taarifa mkuu kituo cha polisi cha karibu.
Wana CCTV pale. Aanzie hapo.Nenda kitambaa cheupe sinza
Au aliondoka kwenda kwa Ubuntu BothoNenda kitambaa cheupe sinza
😀😀😀
Mbona umeshamuona huyo si ndiyo maana hata picha umempiga hapo wakati anakula bata😃😃Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
View attachment 3018759
Natumai amepata mwongozo.....
Tulia, zikiisha atarudiWakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
View attachment 3018759
Hawa ndo wale wazee wanao choma moto nyumba mkose urithi hahaaaaWakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
View attachment 3018759