Namtafuta babu yangu

Muacheni babu afurahie pesa zake za Shamba . Akimaliza atarudi mwenyewe.


Tafuteni za kwenu na nyie
 
Babu kakutana na watoto wa mjini. Mtampata akiwa kabaki na laki mbili tu.
Natania mkuu.

Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…