Zipo kibao mlimani city pale laki na nusu hadi laki na 90Wataalam habari zenu.
Kuna mtoto anashida ya kutembea, mara ya kwanza alikuwa hawezi kukaa, alikuwa analala tu. Tukamtafutia baby seater.
Sasa anakata, Sasa ni wakati wa kumtafutia baby walker. Naamini atasimama na kutembea.
Naona nguvu anazo ila kuna shida za hapa na pale za kiafa. Ikiwemo kuongea hawezi ila anasikia na anaweza kuongea mambo anayojisikia.
Nitapata wapi baby walker ya Umri huo? Hata kama ni ya kuchonga. Mfanano na hii ama zinginezo.
Asante sana.Tafuta baby walker imara ukizingatia umri wa huyo mtoto ni miaka mitano.
Tahadhari asijeanguka awe na mwangalizi kwa ukaribu sana.
Nahisi mwanao anashida kidogo kwenye kiuno au uti wa mgongo.
Mungu ni mwema asime na atembee,iwe furaha kwa wazazi
Ndio kaka ni ngumu sanaHizi zinaweza kubeba mtu wa miaka mitano?
Maana kuna Moja alishaivunja.
Safi mkuuAsante sana.
Nami natafuta imara.
Una hela naezakutengenezea ya chuma ambayo ataitumia hata akiwa na 10 yrs njoo pmWataalam habari zenu.
Kuna mtoto anashida ya kutembea, mara ya kwanza alikuwa hawezi kukaa, alikuwa analala tu. Tukamtafutia baby seater.
Sasa anakata, Sasa ni wakati wa kumtafutia baby walker. Naamini atasimama na kutembea.
Naona nguvu anazo ila kuna shida za hapa na pale za kiafa. Ikiwemo kuongea hawezi ila anasikia na anaweza kuongea mambo anayojisikia.
Nitapata wapi baby walker ya Umri huo? Hata kama ni ya kuchonga. Mfanano na hii ama zinginezo.
Hebu mtafute mtu anaitwa Occupational therapist amuo e huyo mwanao, sio kila kifaa kinaweza mfaa, vingine vinaweza muumiza zaidiWataalam habari zenu.
Kuna mtoto anashida ya kutembea, mara ya kwanza alikuwa hawezi kukaa, alikuwa analala tu. Tukamtafutia baby seater.
Sasa anakata, Sasa ni wakati wa kumtafutia baby walker. Naamini atasimama na kutembea.
Naona nguvu anazo ila kuna shida za hapa na pale za kiafa. Ikiwemo kuongea hawezi ila anasikia na anaweza kuongea mambo anayojisikia.
Nitapata wapi baby walker ya Umri huo? Hata kama ni ya kuchonga. Mfanano na hii ama zinginezo.
Uko mkoa gani ? Pia usikate tamaa hiyo juhudi uliyonayo kuna siku utatabasamu !! Mtoto mwenye mahitaji maalumu anahitaji zaidi ukaribu wa watu na familia !Mwanao ana shida kama mwanangu the same issue… ila wangu ana miaka 3 bado hatembei haongei kwa kutambua anaongea anachojiskia… nimehangaika na mazoez ila bado… Mungu atusaidie changamoto ni kubwa sana😢
DodomaUko mkoa gani ?
Ooho siku moja pia watembelee CCBRT hata Muhimbili wanajitahidi na wameokoa watoto wengi sana kwenye issue ya mazoezi ! Unaweza kulink hata na Daktari akakupa ratiba kulingana na umbali uliopo !Dodoma