Namtafuta bwana agostino kibi..!!

Namtafuta bwana agostino kibi..!!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Nimepoteana na ndg yangu agostino kibi mwenyeji wa Bukoba Kagera toka mwaka 1981.
aliemuona au anaemfahamu au kumsikia naomba anisaidie kunijulisha Tafadhari!!Mara ya mwisho alikua anafanya kazi UDA Dar es salaam.mkewe alikua anafanya kazi UTUMISHI aliitwa VAISI.
 
katangaze gazetini au redioni utampata kirahisi zaidi mkuu.
 
pole sana na Mungu akutangulie katitika kumsaka nduguyo...
 
katangaze gazetini au redioni utampata kirahisi zaidi mkuu.

UNAJUAJE KAMA HUKO HAJATANGAZA?, WE UNAWAJUA MEMBER WOTE WA JF?, ANAWEZA KUWEPO HATA HuMU
 
Back
Top Bottom