Namtafuta Crispian Musiba yupo???

Namtafuta Crispian Musiba yupo???

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
salaaam

Serikali ya awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilikuja na watu wake lakini naona imeamua kuondoka nao wote mfano Mtu kama Musiba was front page every sinngle day aiseee!!! lakin piia namkumbuka sana Kasimu Majaliwa wa Magufuli he was very seriously Mwisho kuna Mwamba wa TAMISEMI ndugu Suleiman Jafo this guy deserve to be future president.


Mwamba Magufuli kaondoka na watu wake waliobakia ni copies za Jakaya Kikwete,so sad
 
Back
Top Bottom