mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
kama vp nenda hospitalini kwake iko moshi karibu na stand kuu inaitwa Kilimanjaro first health!Hello wanajamiiNahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa..yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofic yake ilipo au the other means itakayokuwa rahisi kwangu...trust me its just for some medical issues n not otherwisemubarikiwe
Labda anamtaka nje ya mjengonNi yule huwa anasikika Clouds FM? Kama ndiye, kwa nini usiende mjengoni kwao kumuulizia???