Namtafuta Dr. Isack Muro

Namtafuta Dr. Isack Muro

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Hello wanajamii

Nahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa. Yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofisi yake ilipo au the other means itakayokuwa rahisi kwangu.

Trust me its just for some medical issues and not otherwise.

Mubarikiwe
 
Ni yule huwa anasikika Clouds FM? Kama ndiye, kwa nini usiende mjengoni kwao kumuulizia?
 
Hello wanajamiiNahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa..yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofic yake ilipo au the other means itakayokuwa rahisi kwangu...trust me its just for some medical issues n not otherwisemubarikiwe
kama vp nenda hospitalini kwake iko moshi karibu na stand kuu inaitwa Kilimanjaro first health!
 
Jamaaa bongela handsome boy , usije dungwa tuu shauri yako. Huyu IsacK Interviews zake zinanibore sana anauliza maswali kwa mzaha sana , halafu ana vuta muda sana kwneda kwenye point, kiasi una choka kusikiliza anacho kiongelea.
 
Jamaa ananivutia sana ana kipaji zaidi ya udaktari anauliza maswali ya msingi na ya kiprofessional yule aliyekuwaga kabla yake ndo alikua ananikera vibaya mno hadi nikaanza kuchukia kipindi...but now i love it just becoz of dk isaack
 
Mi pia namkubali sana dr isaack,jumapili huwa sipend kumkosa!mtafute mjengon mida ya kutoka ndo utam-bamba fresh!
 
Mmh dogo Isaac umekuwa celebrity... Watu wanaku mind kichizi. Mimi hata mpangaji mwenzangu hanikubali sembuse kunitambua. Keep it up doc...
 
Back
Top Bottom