Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 9,140 Reaction score 15,963 Nov 17, 2021 #1 Tafadhali mwenye kujua alipo, au mwenye mawasiliano nae tafadhali anipatie pm, kuna Headmaster mwenzie waliachana miaka hiyo ndo anamtafuta sana.
Tafadhali mwenye kujua alipo, au mwenye mawasiliano nae tafadhali anipatie pm, kuna Headmaster mwenzie waliachana miaka hiyo ndo anamtafuta sana.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Nov 17, 2021 #2 Duh ni muda mrefu kidogo!!
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 9,140 Reaction score 15,963 Nov 17, 2021 Thread starter #3 mahondaw said: Duh ni muda mrefu!! Atakua Bado yupo hai kweli!!!??? Click to expand... Sijajui kwa kweli. Ila mwenzake anamtafuta sana, hata kama hayupo hai ajue
mahondaw said: Duh ni muda mrefu!! Atakua Bado yupo hai kweli!!!??? Click to expand... Sijajui kwa kweli. Ila mwenzake anamtafuta sana, hata kama hayupo hai ajue
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Nov 17, 2021 #4 Uliondoka na mimba yake umpe habari ya mtoto?
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 9,140 Reaction score 15,963 Nov 17, 2021 Thread starter #5 Mr Slim said: Uliondoka na mimba yake umpe habari ya mtoto? Click to expand... Nooo, kuna Headmaster mwenzie anamfind boss, miaka hiyo Nipo bado hata teteee teh bado
Mr Slim said: Uliondoka na mimba yake umpe habari ya mtoto? Click to expand... Nooo, kuna Headmaster mwenzie anamfind boss, miaka hiyo Nipo bado hata teteee teh bado
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Nov 17, 2021 #6 Bushmamy said: Nooo, kuna Headmaster mwenzie anamfind boss, miaka hiyo Nipo bado hata teteee teh bado Click to expand... Ok,sorry comment yangu! Utampata tu,JF hakuna gumu.
Bushmamy said: Nooo, kuna Headmaster mwenzie anamfind boss, miaka hiyo Nipo bado hata teteee teh bado Click to expand... Ok,sorry comment yangu! Utampata tu,JF hakuna gumu.
DENLSON JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 949 Reaction score 1,260 Nov 17, 2021 #7 Nenda Facebook tafuta group linaitwa walambo ni wamoja omba namba ya uongozi wa shule itakuwa rahisi kuanzia hapo
Nenda Facebook tafuta group linaitwa walambo ni wamoja omba namba ya uongozi wa shule itakuwa rahisi kuanzia hapo
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 9,140 Reaction score 15,963 Nov 17, 2021 Thread starter #8 DENLSON said: Nenda Facebook tafuta group linaitwa walambo ni wamoja omba namba ya uongozi wa shule itakuwa rahisi kuanzia hapo Click to expand... Naomba nisaidie tafadhali maana mambo ya Facebook sijawahi hata siku moja kujiunga. Wala sielewagi
DENLSON said: Nenda Facebook tafuta group linaitwa walambo ni wamoja omba namba ya uongozi wa shule itakuwa rahisi kuanzia hapo Click to expand... Naomba nisaidie tafadhali maana mambo ya Facebook sijawahi hata siku moja kujiunga. Wala sielewagi