Namtafuta headmaster LC MUSSATA ,alikuwaga Mirambo jwatz,Tabora miaka ya 1987

Namtafuta headmaster LC MUSSATA ,alikuwaga Mirambo jwatz,Tabora miaka ya 1987

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Tafadhali mwenye kujua alipo, au mwenye mawasiliano nae tafadhali anipatie pm, kuna Headmaster mwenzie waliachana miaka hiyo ndo anamtafuta sana.
 
Nenda Facebook tafuta group linaitwa walambo ni wamoja omba namba ya uongozi wa shule itakuwa rahisi kuanzia hapo
 
Nenda Facebook tafuta group linaitwa walambo ni wamoja omba namba ya uongozi wa shule itakuwa rahisi kuanzia hapo
Naomba nisaidie tafadhali maana mambo ya Facebook sijawahi hata siku moja kujiunga. Wala sielewagi
 
Back
Top Bottom