Namtafuta huyu dada kwa nguvu zote

Namtafuta huyu dada kwa nguvu zote

Huwezi kuimba wimbo usioujua..Hii itakuwa ni tabia yako..Bazazi na nusu

Hizo style zinahusika sana, halafu unajikuta hata kusali husali, mida yote unaangaza macho kutafuta mlupo.
 
Usikose Ibadan utakutan nae tu,,,,ulete mrejesho mkuu
 
Habari,

Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake.

Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran nlichelewa kdgo nikaja nikaketi bench moja na ww (la pili kutoka mwisho kama sikosei)

Nilivaa shati mikono mifupi (a mix of blue & white ) wit dark blue jeans wit sandals. Jamani huyu mdada ki ukweli uongo dhambi ameniteka nikatokea kupendezwa nae na kutamani kuwasiliana nae zaidi na kujenga urafiki.

Ulivaa some sort of a dark blue shirt/top na green sandals...u have a samsung galaxy na a red pouch kwenye bench ulijifunga mtandio (a green one)...tukiwa church nikakusisitiza sanaa uchukue karatasi yenye mafunzo ya utoaji zaka na dhabihu (sadaka) but ukasema sio tatzo if ningebaki na ile karatasi tulizopewa church.

Daah kama upo huku nitafute plz. Nakumbuka uliniaga getini ukiwa unaondoka...nilitingwa na watu nikajikuta nashindwa kuchukua mawasiliano yako. Daamn !!!

Masikini ya Mungu hata jina hukuniambia...
mkuu mbona ulivaa kizembe sana church.
 
Inaonekana kanisani unaenda siku za matukio tu ila jaribu tena next Sunday
 
Jaribu kila Sunday usali misa zote aiseeh
 
Inaonesha kabisa leo hujasali kitu kabisa. Na lengo lako ilikuwa kutafuta hayo uliyoandika. Kama kweli wewe ni mpenzi wa Mungu basi endelea kusali mara kwa mara pengine naye atarudi na utamuona tena. Halafu sasa kweli ndio uje huku JF umtafute wakati umesema mmekutana Kanisani? Ni jambo la heri kuwa yaonesha ni mtu wa ibada.., hivyo endelea hivyo hivyo tu na utawaona wengi tu wapo. Lakini kuwa makini, wengine huja kwenye ibada au kuwa karibu na Mungu baada kushindwa na maisha ya zamani hasa umalaya mitaani. Ukienda mbio hivyo utalizwa..! Usione vyaelea ujue vimeumbwa mkuu.
 
Weeeh, mwache mchumba wangu aisee,tutazinguana jomba....(joke)

Mkuu jumapili nenda church na ukae seat ileile huku ukiangaza macho alipo huyo mrembo.

Ulikosea palepale kwenye vibaasha vya sadaka ungemwambia aandike na no. yake.
 
Kazi kweli! Makanisa yaanze kutenga wanaume na wanawake sasa.
 
Daah aisee mi ndio usharika wangu huo...im really praying ni meet nae tena. I dnt kno there is something special about that woman

Hands off,you are trying to fall in love with someone's wife!!!
 
ULIOGOPA Kuomba Namba Kwa UDOMO ZEGE Wako Matokeo Yake Unakuja Kutupa Shida Saa Hizi Watu Tumepumzika Hapa Baada Ya Kupiga Vitatu vya Fasta Kwa My Valentine HAPA.

Elewa lugha it wasn't easy kwa mazingira nliokua naye....
Pale nnje ndio ilikua ndio ku score kila kitu...tukapoteana.
 
Back
Top Bottom