Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Hivi kwanini wanawake hampendi kusifiana?Demu wa kawaida tu...Bora usiione sura yake endelea kumsikiliza hivyo hivyo.
Allah AkbarHivi kwanini wanawake hampendi kusifiana?
Kumbe kuanzisha uzi ni kutafuta kick?aya mambo ya kujianzishia Uzi ili na wewe upate kick sio kabisa
Aiseeee yan me nlibishana sanahahhaaha dah kwa kweli mana hata mie sikuamini kama ni yeye babra, mana sauti na mwonekano ni tofauti.
Wap mkuuu nakanyemeleaUlikuwa unakatafuna nn?
Kana Maneno Mengi sanaaaWap mkuuu nakanyemelea
Lakin mpaka sasa juhud
Bdo znagonga mwamba
Haa haa haa kama ulijua yanKana Maneno Mengi sanaaa
Duuu..mzeeDemu wa kawaida tu...Bora usiione sura yake endelea kumsikiliza hivyo hivyo.
Aseee!!! Umeonaeee?aya mambo ya kujianzishia Uzi ili na wewe upate kick sio kabisa
Samahani mkuu maelezo yako yanakanganya kidogo...Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke kumsikiliza
Najua ni cerebrity na kuna watu watakuwa wanamfahamu humu...Niambieni hata kifupi huyu mtu ni nani? Hata picha yake tuu....
Huwa namsikia clouds FM na Clouds TV kwenye kipindi kimoja tuuuu nacho ni kipindi cha michezo (SPORTS EXTRA) Kwenye segment ya NGUMU Kumezaaa na KWENYE clouds TV NI ile Segment ya SPORTS ROUND UP.....yaani ile misemo yake na mpangilio wa maneno ni inanifanya niwe na shauku ya kumjua na Sauti yake
Mwenye kumjua tafadhari
Anyway she is fit for human consumptionDemu wa kawaida tu...Bora usiione sura yake endelea kumsikiliza hivyo hivyo.
ni kuku flani wa kienyeji,anafaa kuliwa,ila bado angeachana na hayo mawigi ya kinyakyusa,angeendana na kasi ya hapa mjini,bado akazane kuoga...