Namtafuta Huyu Dada...!!!

Namtafuta Huyu Dada...!!!

hahhaaha dah kwa kweli mana hata mie sikuamini kama ni yeye babra, mana sauti na mwonekano ni tofauti.
Aiseeee yan me nlibishana sana
Na washkaj zang kuwa co yy
Heee sasa kuja kumuona
Live escape one nliishiwa
Mpaka poz

Masaut wote uleeee

Lakin hee hee hakuna kitu
 
Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke kumsikiliza

Najua ni cerebrity na kuna watu watakuwa wanamfahamu humu...Niambieni hata kifupi huyu mtu ni nani? Hata picha yake tuu....

Huwa namsikia clouds FM na Clouds TV kwenye kipindi kimoja tuuuu nacho ni kipindi cha michezo (SPORTS EXTRA) Kwenye segment ya NGUMU Kumezaaa na KWENYE clouds TV NI ile Segment ya SPORTS ROUND UP.....yaani ile misemo yake na mpangilio wa maneno ni inanifanya niwe na shauku ya kumjua na Sauti yake

Mwenye kumjua tafadhari
Samahani mkuu maelezo yako yanakanganya kidogo...
Umesema humfahamu kwa jina, sura wala kazi yake ni sawa...
Ukaendelea kutiririka kuwa sauti yake huwa unaisikia cloudsm na clouds tv, sasa hapo ndo sijaelewa hiyo clouds tv kwako unaipata audio tu au imekaaje hii. Na pia inawezekana vp mtu unamsikia kwenye media kila siku afu unasema haujui kazi yake?
Kiwi cha macho [emoji15] [emoji15]
 
f4f56d97e62c908f88e9756f8cba316c.jpg

e1f89a87af3c9733cb4366381ac4c0f6.jpg
ni kuku flani wa kienyeji,anafaa kuliwa,ila bado angeachana na hayo mawigi ya kinyakyusa,angeendana na kasi ya hapa mjini,bado akazane kuoga...
 
Jamani na mimi naombeni hata ka picha tu ka yule GIFT wa kipindi cha lala bye cha 93.7 EFM, Sauti yake huwa yanikosha sana
 
Back
Top Bottom