Namtafuta John Mnyika wa mwaka 2005-2020, je ni muumini wa kanuni ya "kutoongea wakati wa kula"?

Namtafuta John Mnyika wa mwaka 2005-2020, je ni muumini wa kanuni ya "kutoongea wakati wa kula"?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule mtafiti, msomi wa Maua Seminary aliyepata Division One ya "A" masomo yote.

Nini kimemfanya awe kimya? Je ni mtu anayejali mila za kiafrika kwamba si vizuri kuongea ongea wakati wa kula unaweza kupaliwa?

#bringbackJJMnyika
 
Juzi alienda Mbeya kuongoza tamasha la Vijana Bavicha babu zako wakampiga na kuvunja miwani yake, ulikuwa Afghanistan?
 
Juzi alienda Mbeya kuongoza tamasha la Vijana Bavicha babu zako wakampiga na kuvunja miwani yake, ulikuwa Afghanistan?
Hakuna aliyepigwa, uliona mtu ana ngeo au kachaniwa shati?

Sugu alijilaza kitandani akiigiza yuko hoi taabani, kwa mshangao wa manesi, alipomuona Balozi wa Marekani, aliinuka kitandani kwa kasi ya sauti
 
Back
Top Bottom