Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule mtafiti, msomi wa Maua Seminary aliyepata Division One ya "A" masomo yote.
Nini kimemfanya awe kimya? Je ni mtu anayejali mila za kiafrika kwamba si vizuri kuongea ongea wakati wa kula unaweza kupaliwa?
#bringbackJJMnyika