Waheshimiwa namtafuta mshikaji nilikuwa nae Chuo anaitwa Joseph Kahungwa. Nafahamu yupo USA lakini nimepoteza contacts zake yeyote mwenye kujua nampa anipenyezee kwenye PM
Mkuu huyu Joseph Kahungwa mtoto wa marehemu mzee Kahungwa wenye gust house mtaa wa Karuta Mwanza? kama ndie basi naomba ujibu ili nikutumie contact zake.