Namtafuta Joseph Kahungwa

Namtafuta Joseph Kahungwa

kanda2

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2007
Posts
1,319
Reaction score
75
Waheshimiwa namtafuta mshikaji nilikuwa nae Chuo anaitwa Joseph Kahungwa. Nafahamu yupo USA lakini nimepoteza contacts zake yeyote mwenye kujua nampa anipenyezee kwenye PM

Natanguliza shukran
 
Mkuu Kanda2....Huyu Joseph Kahungwa ana udugu na Lucas Kahungwa wa USA pia...?
 
Aliwahi kuniambia ana Bro wake USA sina uhakika kama ndie huyu. Anyway thanx for showing concern
 
Mkuu huyu Joseph Kahungwa mtoto wa marehemu mzee Kahungwa wenye gust house mtaa wa Karuta Mwanza? kama ndie basi naomba ujibu ili nikutumie contact zake.
 
Lucas Kahungwa (wa USA) alipatwa na msiba wa kaka yake huko Dar kama mwezi uliopita na kwa sasa yuko Bongo.
 
Back
Top Bottom