Mkalapa boy
Member
- Aug 19, 2021
- 84
- 172
Habari wa bodi wa JF hususani wana michezo.
Moja kwa moja kwenye mada. Kaka GENTA uko wapi sioni maoni yako katika kipindi hiki Cha usajili klabu yetu(Simba) inasajili wachezaji wanaotoka vilabu vinavyoshuka daraja uko kimya Wala haukemei swala hili wewe ndiyo mtetezi na msema kweli pale mambo yanapokwenda hovyo jitokeze kaka tafadhali njoo kaka GENTA jirani anatutambia huku hatulali eti saa 6 usiku muda wa majini yy anatangaza wapya kweli msimu ujao tutapona kaka?
Njoo kaka GENTA tafadhali