Namtafuta kaka Genta aseme neno kuhusu usajili

Namtafuta kaka Genta aseme neno kuhusu usajili

Kwa haraka haraka Simba imeamua kukabia juu kwa timu pinzani kwa kufunga "booster" kwenye eneo la ushambuliaji lakini wamejisahau kusajili "back up" za maana nyuma pembeni kwa Kapombe na Zimbwe. Kwa hiyo Kapombe na Zimbwe shughuli wanayo tena msimu huu kama ilivyokuwa msimu ulioisha. Watamaliza msimu wakiwa wamechoka sana.

Na pale kwa mshambulaiji wa kati kwa kuwa usajili bado unaendelea inatakiwa Mugalu na Kagere waondoke wate wawili na kama ikishindikana kabisa basi walau mmoja aondoke wampishe mshambuliaji/washambuliaji wapya.
 
Back
Top Bottom