Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumuoa baadala ya miss natafuta. Hatukuonyeshi ng'oNamtafuta Linda Byaba. Mara ya mwisho tulikutana East London, South Africa 2010. Kwa Dar aliniambia kwao Kimara. Kama upo humu njoo PM
Namtafuta Linda Byaba. Mara ya mwisho tulikutana East London, South Africa 2010. Kwa Dar aliniambia kwao Kimara. Kama upo humu njoo PM
Ha ha ha duh...nitahukumiwa sana humu!
haHhahaah nimekumbuka comment ya mkuu mmoja kwenye uzi flani anakwambiaNdo vyuma vimekaza brother!??
New member wakati umejoin 2012? Mods tusaidie.Nilifanyanaye kazi Balton, nipe contact details zako nimeambie akutafute
Akiwa shemeji yake hafai kutafutwa kwani [emoji57] kama ni ndugu yake? Baadhi ya wabongo bwana ..spana zimeachiaShemeji yako huyo wanini wewe [emoji51] [emoji34]