Namtafuta Madam S

Namtafuta Madam S

Appollo 11

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
245
Reaction score
648
Wasalam ndugu wana Jf,

Aise ndugu yenu nina shida, Kuna mtu namtafuta yapata miezi tisa sasa, PM yake ipo locked na pia hajawahi post kitu chochote ndani ya muda huu.

Huyo ni Madam S, tafadhali kwa yeyote mwenye kufaham namna ninayoez kumpata, tafadhli naomba msaada wako. Nina shida nae muhimu sana, tena sana.

Kwa mtu yeyote anaez nisaidia contact zake, au kujua namna ya kuniunganisha nae, Ntashukur sana.

Nina Jambo langu very serious, nisaidieni namna ya kumpata.

Pls. Contact me PM au kwenye Comments

Madam S, nakutafuta kwa udi na uvumba.
 
Back
Top Bottom