haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
U wapi mama sabi, uloteka moyo wangu.
Unifanye niwe Hubby, chema chako kiwe changu.
Nikiiweka ahadi, zaidi ya yakizungu
Mama sabri uko wapi, unitulize machungu.
Nilipenda avatar, nikachanganywa na swaga.
Zile zako reply, basi kwangu ni trigger.
Wanipokonya uhai, uwapi hujaniaga.
Mama sabri uko wapi, unitulize machungu.
Kujiunga JF, ndipo nikabaini.
Kumbe nilikua half, unayo nusu ya mimi.
Maisha yakawa tough, ukapotea machoni
Uko wapi mama sabri, unitulize machungu.
Nitakupenda daima, vyovyote utavyokua.
Naomba uwe mzima, nakungoja unajua.
Ujikinge na Corona, pia pichu kutovua,
Nitafute tuonae, vilo chini vikutane