Namtafuta mchumba wa kike

Tutor unahangaikaje jf wewe....
Kamata denti la chuo hapo... Aliyepiga GPA ya 4.4 - 5.

Hawa akina miss natafuta watakuua bwana mdogo... Hawa tuachie sisi mangariba tusioogopa mikojo.
 
Tutorial Assistant umashindwaje kudeal na wanafunzi au we domo zege
 
nime kutext honey
vipi umo kwenye vigezo vya mtoa mada? kuanzia umri mpaka elimu?
Sijaona bado text yako, npo kwny vigezo vyake hahhaa ila nshachukuliwa
 
Unatafuta mtu wakati umeficha jinalako na sura na hujulikani unataka wakuamini VP?
 
Wa vyuoni wapo booked mkuu labda upate bahati.

Ila nakumbuka story ya jamaa mmoja alipokonywa tonge mdomoni na seminar leader.
That's very true kaka, though hatuzingatii sana hiyo issue ya booking but chuoni risk probability inakuwa juu sana...to acquire/ come across the REAL ONE is almost an "IMPOSSIBLE BETTING".. Alot of chicks and SLAY QUEENS...still naamini naeza pata REAL QUEEN humuhumu JF
 
Unatafuta mtu wakati umeficha jinalako na sura na hujulikani unataka wakuamini VP?
Kumbuka wewe jina lako ni "Kuku mdogo" lakini bado tunakuamini na ku-socialize na wewe humu JF since 2011..ni imani ipi zaidi unayotaka toka kwa binadamu zaidi ya hii waliyokupa ya kuwasiliana na wewe "kuku mdogo"??
 
Wewe acheni kuwaingiza mkenge watoto wa watu ili mkawatoe viungo vyao. Ukifikia atua ya kutaka mchumba jivue Gamba lako na uwe halisi ili uaminike.
 
Wewe acheni kuwaingiza mkenge watoto wa watu ili mkawatoe viungo vyao. Ukifikia atua ya kutaka mchumba jivue Gamba lako na uwe halisi ili uaminike.
Okay uko entitled na opinion yako na so it is never good kukupinga KUKUMDOGO...blessings👏👏👏
 
Tutor unahangaikaje jf wewe....
Kamata denti la chuo hapo... Aliyepiga GPA ya 4.4 - 5.

Hawa akina miss natafuta watakuua bwana mdogo... Hawa tuachie sisi mangariba tusioogopa mikojo.
Noted👍👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…