Namtafuta mdada ambae tutakuwa nae kwenye mahusiano ya long distance

Mkuu aisee una hatari, sijala mbususu siku mingi lakini siwezi lomba mkono wangu bora nilale na ngunga zangu...huo mchezo umesababisha jamaangu mmoja akienda pharmacy ananunua retro au some sort of Viagra box zote zilizoletwa stock kwa siku hiyo ili mzigo wote aumiliki yeye ila jamaa hajui kama najua anatumia vifaa vya kazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mie niko Rainbow hapa.
Nachana mikeka.
Hahahaha naweza nikaja hapo baadae niko maeneo ya makuru huku mtaani tu...rainbow kuna vibe ? Kwanza Dodoma wapi kuna vibe leo manake nampitia jamaangu kaja nae leo kutoka Dar yupo kisasa sheli anasema sio mbali na makuru anataka akae sehemu inayovutia, zingatia neno INAYOVUTIA
 
Ohhhh...sawa.
Leo panapobamba kuna Rainbow, Calabash mitaa ya Royal, Bambalaga, The Bistro (anafungua ingine wiki ijayo mitaa ya Mandengo).
Sinza Bar, Kisasa huko nako kuna sehemu nzuri tu za kutulia.

Kama anataka kuvutika zaidi anaweza kwenda Rainbow au Sinza Bar au Royal.
 
Nimechekaa hatariii, wee jishaue, baadae uone niko na chibaba humu, uanze visa, nakusaula.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahah sio chibaba labd Ba mtu siko tayar kua Ba mtu wa Coca ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ohhhh...sawa.
Leo panapobamba kuna Rainbow, Calabash mitaa ya Royal, Bambalaga, The Bistro (anafungua ingine wiki ijayo mitaa ya Mandengo).
Sinza Bar, Kisasa huko nako kuna sehemu nzuri tu za kutulia.

Kama anataka kuvutika zaidi anaweza kwenda Rainbow au Sinza Bar au Royal.
Okay ntakuja nae rainbow, bambalaga nasikia sio kivile sikuiz hapo mara ya mwisho nlikuwepo pale ilikuwa moto,
 
Ohhhh...sawa.
Leo panapobamba kuna Rainbow, Calabash mitaa ya Royal, Bambalaga, The Bistro (anafungua ingine wiki ijayo mitaa ya Mandengo).
Sinza Bar, Kisasa huko nako kuna sehemu nzuri tu za kutulia.

Kama anataka kuvutika zaidi anaweza kwenda Rainbow au Sinza Bar au Royal.
Okay ntakuja nae rainbow, bambalaga nasikia sio kivile sikuiz hapo mara ya mwisho nlikuwepo pale ilikuwa moto
 
Sijui kwanini Bambalaga imekuwa hv.
Kimei inabidi aingie chimbo atuletee burudani.
Pako vizuri sana ila sijui shida ni nini
Yaaah kweli, ana undugu na jamaangu mmoja yule mwenye anasimamia sheli/kama sio yake ya pale 4ways ile Total nilimuuliza mbona anko ako anayumba akawa hana lakujibu, ila wachaga anamizigo, jamaa tulisoma nae chuo hakuwa kufanya kazi anasimamiaga business venture za mzee wake.
 
Ohhh, sasa hapo nimeelewa.
Pestana nako tulikuwa tunajazana balaa, akaifunga akaja kufungua Bambalaga.
Nayo japo inajaza ila si kama zamani.

God Makoi (r.i.p) wa Chako ni Chako sijui alitumia mbinu gani maana mpaka leo ni balaa, mwaka wa 11 huu ila kuko full...
 
Back
Top Bottom