blacksamurai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 387
- 646
Habari, ningependa kufahamu kama kuna mfugaji wa bata wa aina mbalimbali ndani ya manispaa ya Morogoro.
Kama yupo, tuwasiliane niende nikamtembelee anapofugia na nitanunua bata kwake. Nimeanza ufugaji wa bata, kwa hiyo nahitaji bata wa kuanzia (si bure nitanunua tukikubaliana bei) kutoka sehemu tofauti lakini ndani ya manispaa ya Morogoro.
Bata ninaohitaji ni hawa wa kawaida(kienyeji), perkin na mzinga pia.