Ni maarifa 2.0 na 3.0 yatakayo tuletea taamuli ya mapinduzi ya kitekinolojia siku za mbele kidogo. Kwa kuwa kuna uhusiano wa vitu vijizungurushavyo kwa kasi fulani, mpitisho wa umeme usio na ukinzani, na ala za sauti kunasibu mifumo ya kitekinolojia ilivyo ni vinu vya nishati isiyokoma kudhihiri utendaji ama/na ‘nguvu gravitali’. Vyombo vya uchukuzi, vya kesho ya karibuni, vitatumia maarifa haya, kitekinolojia, kupepea angani, kuelea relini, kukata uzito n.k. Huu utakuwa ni mwanzo wa kubaini ‘alama za nguvu’ zinazoshikiza mifumo na mienendo ya asili ambavyo pia ndivyo ‘nguvu za akili’ hutenda kazi. ‘Kumbukumbu’ kwa mfano, ni metafizikia ya mizunguriko ‘kisahani’ pacha, ya mielekeo iliyotofauti, kama vile inavyodhaniwa kwenye maarifa ya fizikia ya kikwantumu juu ya ‘elektroni’ kwenye ‘sheli’. Ulimwengu wote dhahiri umefanyika kwa ‘kumbukumbu’--kumbukumbu katika metafanusi; akili zetu, kwa ujuzi wa mazoezi ya akili, mwili na roho, zina uwezo wa ‘kupanga na kupangua’ vinasaba vya kumbukumbu ya ‘ulimwengu dhahiri’ ilivyo ni ‘usupasha’ na basi kufanya muktadha wa mambo ya paranomo na okaltia.