Sio kwa serikali zetu hizi za kingeseGreat ideas,huyu bwana aendelezwee,apewe mtaji aweze kujenga plant kubwa kabisa.
In future hii inaweza kufanyika kila mkoa ukawa na plant yake.
Na serekali ikapata mapato.
Wataishia kumpa kesi Tu au atavalishwa mabango ya Mama anaupiga mwingi....Sio kwa serikali zetu hizi za kingese
UNACHEKESHA SANA!Sio kwa serikali zetu hizi za kingese
Hekima ni Uhuru ilivyo pia katika mapelekeo ya nishati, ustawi na maendeleo. Siku za mbele kidogo, kupitia ELIMU 2.0 na ELIMU maarifa yatafika kwetu kuhusiana na ‘nishati’ inayoweza kukingwa bila ukomo na kulainisha ugumu wa maisha yetu—kuleta wepesi katika faraja zetu za majumbani na vyombo vya uchukuzi. Namna hii ya nishati, ndiyo siri ya huu ulimwengu kuwa na ‘uzima’ usio na mwanzo wala mwisho, bali vifanyikavyo ndivyo vyenye mwanzo na mwisho. Pasipo ‘Hekima’ katika UTU, maarifa ya ugemaji wa ‘nishati ya kosmosi’ inaweza kuwa ni ‘laana’ badala ya ‘baraka’ kwa ustawi wa jamii. Hii inaweza kutumika vibaya kutengeneza silaha badala ya mitambo ya kazi kwa kilimo, uchukuzi na starehe. Silaha za namna ya nishati za kosmosi zinaweza kutengeneza hata silaha za maangamizi zilizo hatari kupita mabomu ya nyuklia. Watu wa ELIMU 1.0 wenye ‘namna’ na tena wanaofahamu sehemu ya ukweli huu, kwa siku hizi, ndivyo basi ‘huteka nyara’ michakato ya tafiti na gunduzi zenye kuchipukia kwenye ‘nishati za kosmosi’-- kuzificha kwa kigezo cha usalama wa taifa ama/na kimataifa. Kwa watu wa Studio Maendeleo, maarifa na ukweli wa haya yapo na wao; hili ndilo kufanya ‘Hekima, Umoja na Amani’ kuwa ‘ngao ya ustawi’ na tena kufanya muktadha wa ‘miiko’ kwa ‘wito’ wao.
Katika maarifa juu Usumaku, Umeme, Mwanga na Sauti, kwa ELIMU 1.0, kuna ‘mapengo ya makusudi’ ambayo wanavisomo wa sayansi na uhandisi huzinguliwa kufikiri ‘wamejua sana’ ama ‘kikamilifu’ na kumbe sivyo. ELIMU 2.0 na ELIMU 3.0 inatuletea uwezekano wa kujua ilivyobora na basi ‘kuyaotea mapengo’ hayo na ‘kuyawinda’. Kupitia ELIMU 3.0 ufunguo kwa ufunuo unatukifikia kubaini metafizikia ya fizikia yote ni UPENDO; mtu mwenye kujua ilivyobora fahamu zitazinduka kwake ili kuweza kubaini siri za SUPASHA na MAUMBILE, jiometria za miundo na Ugani pahala pa madhahirisho—mambo kama vile Usumaku si tu kuvutana na kukimbiana kwa ncha za vipande vya sumaku, bali ni pia propensiti ya ‘kujizungurusha’ kimihimili. Kwa sauti, mitetemo ya sauti ina asili tufe na si tu uso bapa wa mawimbi ya kimgandamizo. Kwamba, Umeme una asili ya ‘sauti’ na ‘mwanga’ kwa wakati mmoja na hali mwanga una asili ya ‘usumaku’…
Ni maarifa 2.0 na 3.0 yatakayo tuletea taamuli ya mapinduzi ya kitekinolojia siku za mbele kidogo. Kwa kuwa kuna uhusiano wa vitu vijizungurushavyo kwa kasi fulani, mpitisho wa umeme usio na ukinzani, na ala za sauti kunasibu mifumo ya kitekinolojia ilivyo ni vinu vya nishati isiyokoma kudhihiri utendaji ama/na ‘nguvu gravitali’. Vyombo vya uchukuzi, vya kesho ya karibuni, vitatumia maarifa haya, kitekinolojia, kupepea angani, kuelea relini, kukata uzito n.k. Huu utakuwa ni mwanzo wa kubaini ‘alama za nguvu’ zinazoshikiza mifumo na mienendo ya asili ambavyo pia ndivyo ‘nguvu za akili’ hutenda kazi. ‘Kumbukumbu’ kwa mfano, ni metafizikia ya mizunguriko ‘kisahani’ pacha, ya mielekeo iliyotofauti, kama vile inavyodhaniwa kwenye maarifa ya fizikia ya kikwantumu juu ya ‘elektroni’ kwenye ‘sheli’. Ulimwengu wote dhahiri umefanyika kwa ‘kumbukumbu’--kumbukumbu katika metafanusi; akili zetu, kwa ujuzi wa mazoezi ya akili, mwili na roho, zina uwezo wa ‘kupanga na kupangua’ vinasaba vya kumbukumbu ya ‘ulimwengu dhahiri’ ilivyo ni ‘usupasha’ na basi kufanya muktadha wa mambo ya paranomo na okaltia.
Hata ulaya hawasubiri serikaliSio kwa serikali zetu hizi za kingese
Usichoelewa ni kuwa plant kubwa Huwa hawatumii sumaku ya moja kwa moja , umeme wa sumaku unatumika kwenye mashine ndogo sana kama dainamo ndo Huwa na sumaku ya moja kwa moja, kutokana na madhara yanayoweza kutokea kutokana na kutumia sumaku ya moja kwa moja.Great ideas,huyu bwana aendelezwee,apewe mtaji aweze kujenga plant kubwa kabisa.
In future hii inaweza kufanyika kila mkoa ukawa na plant yake.
Na serekali ikapata mapato.
Habari za waseee. Kama title inavyojielezea hapo juu, kuna mshua nilimuona youtube ametengeneza machine ya kufua umeme kwa kutumia sumaku , nimekuwa exicited kwakwel kuonana nae . Mwenye namba yake ya simu naomba , kwa maelezo ya kwenye video anaishi kawe.
Youtube video:
View: https://www.youtube.com/watch?v=5BkooAlcwSw