Namtafuta Mke, awe na umri wa miaka 20-30

msingipenenge

Member
Joined
Dec 28, 2018
Posts
32
Reaction score
51
Habari Wana JF,

Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:

1. Awe Muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara

2. Umri 20-30

3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)

4. Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu, vinginevyo awe mama wa nyumbani

Mimi sifa zangu
1. Ni Muislam
2. Umri miaka 35
3. Mwajiriwa wa serikali
 
Habari Wana JF
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2.umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)
4.Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu,vinginevyo awe mama wa nyumbani

Mimi sifa zangu
1.Ni muislam
2.Umri miaka 35
3.Mwajiriwa wa serikali
Umejaribu kuongea na FaizaFoxy
 
Hata walimu wa kike wanaliwa sana.

Kila la kheri.
 
Habari Wana JF
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2.umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)
4.Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu,vinginevyo awe mama wa nyumbani

Mimi sifa zangu
1.Ni muislam
2.Umri miaka 35
3.Mwajiriwa wa serikali
Wewe hutaki kuoa bikra? Au unasubiri za peponi?
 
Nenda msikitini utampata.

Kuna jamaa niliona anatafutiwa pisi kwa dizain hii, na alitaja sifa anazohitaji tena yeye alitaka mwenye asili ya kiarabu na alipata kweli.

Sidhani kama jf ni mahali sahihi kwa mke wa namna hiyo.
 
Kutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kubeti. Mikeka kuchanika ni jambo la kawaida kabisa.
 
Ni vtu vyq kawaida mdau kawasilisha ( mambo yamebdl achen hojaji zenu.
 
Kutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kubeti. Mikeka kuchanika ni jambo la kawaida kabisa.
Huku utapata aliekata tamaa ya mahusiano, aliepigwa matukio mpaka akachoka sasa anatafuta wa kupumzikia.

Pisi iliyo form, au Me ambae yupo hot humkuti huku maana anapapatikiwa. Ukiona mtu anatafuta mwenza huku mara nyingi mtu huyo ni mpweke.
 
Ni mara nyingi ila sio mara zote,watu ambao tupo kwenye jamii ndo hao hao tupo mitandaoni
 
Back
Top Bottom