Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sio kweli, watu tulio mitandaoni sio hao hao tulio mtaani mkuu.Ni mara nyingi ila sio mara zote,watu ambao tupo kwenye jamii ndo hao hao tupo mitandaoni
Mitandaoni utakutana na watu wa wanaoahinda maofisini ila mtaani waaala. Fanya tafiti ndgu