msingipenenge
Member
- Dec 28, 2018
- 32
- 51
Umejaribu kuongea na FaizaFoxyHabari Wana JF
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2.umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)
4.Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu,vinginevyo awe mama wa nyumbani
Mimi sifa zangu
1.Ni muislam
2.Umri miaka 35
3.Mwajiriwa wa serikali
Hata walimu wa kike wanaliwa sana.Habari Wana JF
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2.umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)
4.Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu,vinginevyo awe mama wa nyumbani
Mimi sifa zangu
1.Ni muislam
2.Umri miaka 35
3.Mwajiriwa wa serikali
Wewe hutaki kuoa bikra? Au unasubiri za peponi?Habari Wana JF
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2.umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)
4.Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu,vinginevyo awe mama wa nyumbani
Mimi sifa zangu
1.Ni muislam
2.Umri miaka 35
3.Mwajiriwa wa serikali
😂😂😂😂Msikitini umekosa mwenye sifa hizo?
Anaweza kumsaidia hata kumpa ushauri.Huyo ni kikongwe
Kutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kubeti. Mikeka kuchanika ni jambo la kawaida kabisa.Nenda msikitini utampata.
Kuna jamaa niliona anatafutiwa pisi kwa dizain hii, na alitaja sifa anazohitaji tena yeye alitaka mwenye asili ya kiarabu na alipata kweli.
Sidhani kama jf ni mahali sahihi kwa mke wa namna hiyo.
Huku utapata aliekata tamaa ya mahusiano, aliepigwa matukio mpaka akachoka sasa anatafuta wa kupumzikia.Kutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kubeti. Mikeka kuchanika ni jambo la kawaida kabisa.
Ni mara nyingi ila sio mara zote,watu ambao tupo kwenye jamii ndo hao hao tupo mitandaoniHuku utapata aliekata tamaa ya mahusiano, aliepigwa matukio mpaka akachoka sasa anatafuta wa kupumzikia.
Pisi iliyo form, au Me ambae yupo hot humkuti huku maana anapapatikiwa. Ukiona mtu anatafuta mwenza huku mara nyingi mtu huyo ni mpweke.
Ni kweli umakini unahitajikaKutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kubeti. Mikeka kuchanika ni jambo la kawaida kabisa.
Hata huku naweza kupata bro, japo umakini unahitajikaNenda msikitini utampata.
Kuna jamaa niliona anatafutiwa pisi kwa dizain hii, na alitaja sifa anazohitaji tena yeye alitaka mwenye asili ya kiarabu na alipata kweli.
Sidhani kama jf ni mahali sahihi kwa mke wa namna hiyo.
HakikaNi vtu vyq kawaida mdau kawasilisha ( mambo yamebdl achen hojaji zenu.
Kila la kheriHata huku naweza kupata bro, japo umakini unahitajika