Namtafuta mke mwenye mapenzi ya kweli

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,750
Reaction score
2,283
Naamini mapenzi ni kama maua yanaweza kuota popote, siku zote atafutae huwa hajui kama atapata lini na wapi. Wapenzi wanaweza kutana popote, yawezekana ikawa msibani, safarini kwenye harusi sokoni au hata kwenye mtandao kama hapa.

Hivyo basi na mimi namtafuta mwanamke mmoja tu mwenye mapenzi ya kweli ili tufikie lengo la kuwa mke na mume .

Sifa za ninaemtaka.... Mwanamke wa aina yoyote asiezidi miaka 28 asiwe bonge rangi yoyote bila kujali dini, elimu wala kabila Ila uwe mzuri (Nitafurahi zaidi nikimpata nurse, Polisi au Mwalimu). Japo sio kigezo sana yeyote anakaribishwa tuzungumze.
Lakini pia itapendeza akiwa mkazi wa karibu ili iwe rahisi kuonana maana nilishawahi kutafutaga hapa zamani sikupata na nikaishia kiliwa nauli yangu tu na mtu wa mbeya na sikumwona hata.

Umri wangu ni miaka 30 mwajiriwa napata kipato changu halali na mkazi wa Dar es Salaam Nina mtoto mmoja.

Mwanye nia kama yangu karibu PM tuyajenge mengine tutaongea wenyewe... Naomba kuwasilisha hoja.
 
Mapenzi ni hatar Sana, huwa najiuliza kwann yalikwepo, but the best way nikuwa single tu, mengine ni stress tupu!!!
 
Mapenzi ni hatar Sana, huwa najiuliza kwann yalikwepo, but the best way nikuwa single tu, mengine ni stress tupu!!!
of course mapenzi ni hatari ukikutana na mtu hatari lakini pia ni salama endapo wote mtaamua kuchunga usalama wenu kukaa singo bado sio solution!.
 
ukipata waambie wawe wawili na mie nipate nyonga mkalia in nabandama
 
Ngoja wanaume tukutengenezee huyo unayemtaka tukiona ame qualify tutakujulisha
 
Hapo kwenye mabano naona ndo imekua vigezo vingi vya wanamme mnaotafuta wenzi ...hua najiuliza mnatafuta wenzi au backups?...ila usjali mkuu utapata tuu ngoja waje
 
Hapo kwenye mabano naona ndo imekua vigezo vingi vya wanamme mnaotafuta wenzi ...hua najiuliza mnatafuta wenzi au backups?...ila usjali mkuu utapata tuu ngoja waje

Kwenye mabano pasikutishe ndo maana nikasema sio kigezo sana hata kama akiwa nje ya vigezo hivyo hakuna neno
 
Kupenda ni kiherehere chako , iweje moyo wako uukabidhi moja kwa moja kwa mwenzi wako ?
Soma maandiko vzr maana hata wasaliti hawakuanza leo .. tangia Yesu na Wakufunzi wake walikuwepo wakina Yuda es , sina maana usimpende lakini ukimpata mfanye akupende ila usiruhusu akili nyingi itumike ktk penzi hilo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…