Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,750
- 2,283
Naamini mapenzi ni kama maua yanaweza kuota popote, siku zote atafutae huwa hajui kama atapata lini na wapi. Wapenzi wanaweza kutana popote, yawezekana ikawa msibani, safarini kwenye harusi sokoni au hata kwenye mtandao kama hapa.
Hivyo basi na mimi namtafuta mwanamke mmoja tu mwenye mapenzi ya kweli ili tufikie lengo la kuwa mke na mume .
Sifa za ninaemtaka.... Mwanamke wa aina yoyote asiezidi miaka 28 asiwe bonge rangi yoyote bila kujali dini, elimu wala kabila Ila uwe mzuri (Nitafurahi zaidi nikimpata nurse, Polisi au Mwalimu). Japo sio kigezo sana yeyote anakaribishwa tuzungumze.
Lakini pia itapendeza akiwa mkazi wa karibu ili iwe rahisi kuonana maana nilishawahi kutafutaga hapa zamani sikupata na nikaishia kiliwa nauli yangu tu na mtu wa mbeya na sikumwona hata.
Umri wangu ni miaka 30 mwajiriwa napata kipato changu halali na mkazi wa Dar es Salaam Nina mtoto mmoja.
Mwanye nia kama yangu karibu PM tuyajenge mengine tutaongea wenyewe... Naomba kuwasilisha hoja.