Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Wakuu popote mtakapomuona huyu mtu mfikishieni hizi salamu za dhati.
Salamu zenyewe ni kwamba anakubalika sana Mozambique yani kuliko hata Diamond anavyokubalika bongo.
Najua yuko kwenye mawe lakini akijikakamua akapiga show za nyimbo zake za zamani anaweza kupata pa kuanzia. Yani anakubalika na kutafutwa kuanzia watoto wa miaka 12 hivi hadi vikongwe, aliwateka sana. Yani ukisema wewe ni mtanzania, swali la kwanza ni wapi Mr Nice!.
Waswahili wanasema nabii hakubaliki kwao lakini ugenini ni mfalme!
Yani angetafuta namna akafika Mozambique angepiga show labda na msanii yoyote wa ndani angeshangaa maana anatafutwa sana.
Watu wenginne wanahuzunika wakisema labda alishakufa na wanasema wangekuwa na hela waende waone hata alipozikwa.