Namtafuta Mr. Nice

Namtafuta Mr. Nice

Loveeness78

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
280
Reaction score
294
Wakuu popote mtakapomuona huyu mtu mfikishieni hizi salamu za dhati.
Salamu zenyewe ni kwamba anakubalika sana Mozambique yani kuliko hata Diamond anavyokubalika bongo.

Najua yuko kwenye mawe lakini akijikakamua akapiga show za nyimbo zake za zamani anaweza kupata pa kuanzia. Yani anakubalika na kutafutwa kuanzia watoto wa miaka 12 hivi hadi vikongwe, aliwateka sana. Yani ukisema wewe ni mtanzania, swali la kwanza ni wapi Mr Nice!.

Waswahili wanasema nabii hakubaliki kwao lakini ugenini ni mfalme!
Yani angetafuta namna akafika Mozambique angepiga show labda na msanii yoyote wa ndani angeshangaa maana anatafutwa sana.

Watu wenginne wanahuzunika wakisema labda alishakufa na wanasema wangekuwa na hela waende waone hata alipozikwa.
 
Mimi nilifikiri unatafuta mume nikawa nimewahi hapa fasta kumbe ni mambo mengine![emoji17]
 
kujikamua mwenyewe hawezi kwa sasa.jikamue uwe manager wake na wewe utajirike.mtafutie ma sponser uko.mnajichanga.mnapiga show kijiji kwa kijiji.ila asiguse viroba vya uko maana vina hatari zaidi kushinda vya uku
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wakuu popote mtakapomuona huyu mtu mfikishieni hizi salamu za dhati.
Salamu zenyewe ni kwamba anakubalika sana Mozambique yani kuliko hata Diamond anavyokubalika bongo.

Najua yuko kwenye mawe lakini akijikakamua akapiga show za nyimbo zake za zamani anaweza kupata pa kuanzia. Yani anakubalika na kutafutwa kuanzia watoto wa miaka 12 hivi hadi vikongwe, aliwateka sana. Yani ukisema wewe ni mtanzania, swali la kwanza ni wapi Mr Nice!.

Waswahili wanasema nabii hakubaliki kwao lakini ugenini ni mfalme!
Yani angetafuta namna akafika Mozambique angepiga show labda na msanii yoyote wa ndani angeshangaa maana anatafutwa sana.

Watu wenginne wanahuzunika wakisema labda alishakufa na wanasema wangekuwa na hela waende waone hata alipozikwa.

Mkuu upo Mozambique??? Kama yes naomba niPm mkuu nina shida na mtu wa huko
 
Mr nice kipaji anacho na kuimba anajua sana, aongeze ubunifu kuendana soko la mziki wa sasa.
-Mr nice haitaji kuvunja rekodi aliyowahi kujiwekea yeye mwenyewe katika historia ya mziki wake.
 
Ilikuwa.....
Alikuwa....

Dah, huu ugonjwa huu...!
 
Mr. Nice mkimpeleka Msumbiji mnakwenda kummaliza maana kule gongo inauzwa kama kahawa.
 
Back
Top Bottom