Namtafuta Mwalimu Martini M. Nandi

Namtafuta Mwalimu Martini M. Nandi

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Namtafuta Mwalimu Martini Nandi (maarufu kama Mwalimu Nandi). Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Malolo iliyopo wilaya ya Singida vijijini, Tarafa ya Mtinko, hadi kufikia July mwaka huu (2014) - kwa mjibu wa kumbukumbu zangu.

Baadaye alihamishwa ghafla na kupelekwa shule nisiyoijua (Inasadikika yupo Singida vijijini au Mwanza). Kisa cha kumtafuta ni kwamba, namdai. Ameonyesha kwamba yeye sio muungwana kwa kiasi kikubwa kwa kuondoka na deni langu kimyakimya.

Kama kuna mtu yeyote anafahamu alipo, naomba anipm, nitashukuru sana. Baada ya kumpata sheria itachukua mkondo wake.

Ndimi,

problemsolver
 
We ndo unakosa uungwana!Si jambo jema kumtaftia mwenzio kwenye media, unamchafua.Anakudai kiasi gani tukurudishie hiyo hela kijana? Weka na picha yake kabisa.
 
Unataka nimtafute wapi? Kama ni wewe jiseme tu ulipo ili nikufuate physically na kufunga thread.
 
hujui rfa kuna kipindi kinaitwa searchline? Kamtaftie huko,
 
Namtafuta Mwalimu Martini Nandi (maarufu kama Mwalimu Nandi). Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Malolo iliyopo wilaya ya Singida vijijini, Tarafa ya Mtinko, hadi kufikia July mwaka huu (2014) - kwa mjibu wa kumbukumbu zangu.

Baadaye alihamishwa ghafla na kupelekwa shule nisiyoijua (Inasadikika yupo Singida vijijini au Mwanza). Kisa cha kumtafuta ni kwamba, namdai. Ameonyesha kwamba yeye sio muungwana kwa kiasi kikubwa kwa kuondoka na deni langu kimyakimya.

Kama kuna mtu yeyote anafahamu alipo, naomba anipm, nitashukuru sana. Baada ya kumpata sheria itachukua mkondo wake.

Ndimi,

problemsolver

problemsolver usiyejua hata njia moja ya kusolve problem... nenda halmashauri yake kaongee na afisa elimu akueleze wapi alihamia
 
Ungemtafuta bila kuweka hadharani hiyo sababu ya kumtafuta, ningekupatia mawasiliano yake. Kwa kuwa umeamua kumdhalilisha, sitakupa namba yake wala aina yoyote ya contact informations
 
Namtafuta Mwalimu Martini Nandi (maarufu kama Mwalimu Nandi). Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Malolo iliyopo wilaya ya Singida vijijini, Tarafa ya Mtinko, hadi kufikia July mwaka huu (2014) - kwa mjibu wa kumbukumbu zangu.

Baadaye alihamishwa ghafla na kupelekwa shule nisiyoijua (Inasadikika yupo Singida vijijini au Mwanza). Kisa cha kumtafuta ni kwamba, namdai. Ameonyesha kwamba yeye sio muungwana kwa kiasi kikubwa kwa kuondoka na deni langu kimyakimya.

Kama kuna mtu yeyote anafahamu alipo, naomba anipm, nitashukuru sana. Baada ya kumpata sheria itachukua mkondo wake.

Ndimi,

problemsolver

Si ajabu una mdai mahindi debe 2....we nawe ni mwalimu kumbe? Duuuuu nyie walimu facke mnajivimambo sanaaaa....we mwenyewe hapo unadaiwaaaaaa unajitia kumdharirisha mwenzio
 
Back
Top Bottom