Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Namtafuta Mwalimu Martini Nandi (maarufu kama Mwalimu Nandi). Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Malolo iliyopo wilaya ya Singida vijijini, Tarafa ya Mtinko, hadi kufikia July mwaka huu (2014) - kwa mjibu wa kumbukumbu zangu.
Baadaye alihamishwa ghafla na kupelekwa shule nisiyoijua (Inasadikika yupo Singida vijijini au Mwanza). Kisa cha kumtafuta ni kwamba, namdai. Ameonyesha kwamba yeye sio muungwana kwa kiasi kikubwa kwa kuondoka na deni langu kimyakimya.
Kama kuna mtu yeyote anafahamu alipo, naomba anipm, nitashukuru sana. Baada ya kumpata sheria itachukua mkondo wake.
Ndimi,
problemsolver