Moles_OG
Member
- Aug 25, 2015
- 24
- 24
Habari za muda huu ndugu zangu, namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga kinanda Arusha, akiwa maeneo ya mjini itakuwa vizuri zaidi, lakini pia akiwa nje ya mji sio mbaya. Kama upo au kuna shule maalum kwa ajili ya kufundisha kupiga vyombo vya muziki, naombeni mniunganishe na muhusika au mawasiliano ya kituo husika.
Kuhusu malipo tutakubaliana vivyo hivyo kwa muda wa darasa. Asante
Kuhusu malipo tutakubaliana vivyo hivyo kwa muda wa darasa. Asante