Nakurushia namba DM umcheck jamaa, yupo Arusha na hata nota ukitaka atakufundishaWakuu nasubiri msaada wenu
Check DMNitashukuru Boss
Kuna jamaa anaishi Moshono sijui nikuunge naye?.ni mwalimu mzuri sana na ana ka studio kake.πππ
Habari za muda huu ndugu zangu, namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga kinanda Arusha, akiwa maeneo ya mjini itakuwa vizuri zaidi, lakini pia akiwa nje ya mji sio mbaya. Kama upo au kuna shule maalum kwa ajili ya kufundisha kupiga vyombo vya muziki, naombeni mniunganishe na muhusika au mawasiliano ya kituo husika.
Kuhusu malipo tutakubaliana vivyo hivyo kwa muda wa darasa. Asante
+255764654266 jina Elisha, ni mwalimu wa muziki kanisa la Mchungaji Vomo.Itakuwa fresh mkuu, ninapokaa na moshono ni karibu sana
Nimekutumiaπ€£ π€£ π
Mkuu naomba unitumie namimi hiyo namba, ninahitaji pia kupata Mwalimu.Nakurushia namba DM umcheck jamaa, yupo Arusha na hata nota ukitaka atakufundisha