Namtafuta mwanafunzi wa kupanga nae chumba

Nipo st. JOHN DODOMA nachukua BAED,cna chuki wala ubaguzi,nina upendo na uvumilivu mkubwa.KINACHOCHANGIA HAYA ni kujitambua na pia nimejifunza combat karate JKT pia kwenye chama cha karate tanzania nimejifunza SHOTOKAN na nina GRAND BELT yenye maandish ya kichina na nimeshiriki mapambano 3.NIMETOKEA BUKOBA.KARIBUNI SANA.

KAPANGE NA VANDAMME AU ARNOLD SHWAZNEGA...mana hao mtaenda sawa
 
Teh teh teh! Mbona introduction ina mikwala kias hicho
 
Nipe mawasiliano yako,nnapenda watu kama nyinyi
 
Kuna jamaa yng mmoja mkimya sana yuko apo nitamwambia akutafute. Ila ye ashawai kuua
 
VIP ingineering mtakatifu rugemarira mzee wakugawa mihela kama njugu mawe na Tibaijuka mama Wa Tuhela TWA mboga uwe bodigadi wao maana nyie wahaya mnajuana
 
Nipo st. JOHN DODOMA nachukua BAED,cna chuki wala ubaguzi,nina upendo na uvumilivu mkubwa.KINACHOCHANGIA HAYA ni kujitambua na pia nimejifunza combat karate JKT pia kwenye chama cha karate tanzania nimejifunza SHOTOKAN na nina GRAND BELT yenye maandish ya kichina na nimeshiriki mapambano 3.NIMETOKEA BUKOBA.KARIBUNI SANA.

kama wa kikee sawa
 
Back
Top Bottom