TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
wakuu amani kwenu! kama kuna mtu aliwahi kusajiri kampuni ya usafi hapa dar au aliwahi kusajiri kampuni yoyote ana tin namba ya TRA na leseni ya biashara lakini kampuni yake ipo kwenye document tu haifanyi kazi, naomba anipm kwani nataka tushirikiene kutafuta tenda ya usafi kwenye wilaya ya kinondoni,kwa mtazamo na utafiti wangu ni kwamba tenda zipo nyingi sana, sema wenyemakampuni wengi wanasubili tenda na badala ya kufuata tenda. asanteni kwa kunielewa.