Namtafuta mwenye kampuni ya usafi hapa dar.

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
wakuu amani kwenu! kama kuna mtu aliwahi kusajiri kampuni ya usafi hapa dar au aliwahi kusajiri kampuni yoyote ana tin namba ya TRA na leseni ya biashara lakini kampuni yake ipo kwenye document tu haifanyi kazi, naomba anipm kwani nataka tushirikiene kutafuta tenda ya usafi kwenye wilaya ya kinondoni,kwa mtazamo na utafiti wangu ni kwamba tenda zipo nyingi sana, sema wenyemakampuni wengi wanasubili tenda na badala ya kufuata tenda. asanteni kwa kunielewa.
 
Ni PM namba yako ya simu
 
mimi kampuni ninayo ina tin na pia imesagiliwa kama ngo tulishafanya kazi manispaa ya ilala kama contractors na tulitoa huduma kata ya kipawa na ndani ys uwanja wa ndege and we have all documents, experience and expertise! if your are serious and you mean business tafadhali tuma msg 0786460773 . OFAFOODS
 
wakuu amani kwenu! kama kuna mtu aliwahi kusajiri kampuni ya usafi hapa dar au aliwahi kusajiri kampuni yoyote ana tin namba ya TRA na leseni ya biashara lakini kampuni yake ipo kwenye document tu haifanyi kazi, naomba anipm kwani nataka tushirikiene kutafuta tenda ya usafi kwenye wilaya ya kinondoni,kwa mtazamo na utafiti wangu ni kwamba tenda zipo nyingi sana, sema wenyemakampuni wengi wanasubili tenda na badala ya kufuata tenda. asanteni kwa kunielewa.

Check me 0784 93 41 47
 
please pm your potentials for a possible partnership... if interested...
 
Back
Top Bottom