Namtafuta Ndugu FRANCIS KASWAHILI

Namtafuta Ndugu FRANCIS KASWAHILI

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Naitwa Masanja Elisha niko Kahama,Namtafuta Ndugu FRANCIS KASWAHILI ambaye yuko Dar-es-salaamu inasemekana anajihusisha sana na mambo ya mpira na ni shabiki mkubwa wa YANGA pale jangwani.
Yeyote anayemfahamu naomba msaada wake mimi napatikana kwenye 0754415306
 
Google search inaonyesha Francis Kaswahili anajishughulisha pia na mambo ya burudani- chama cha muziki wa dansi! Kama unamtafuta kwa heri nashauri uwatafute hawa watu wa Muzidi wa Dansi lakini kama ni kama kuna tatizo basi nashauri utumie vyombo vya usalama.
 
Naitwa Masanja Elisha niko Kahama,Namtafuta Ndugu FRANCIS KASWAHILI ambaye yuko Dar-es-salaamu inasemekana anajihusisha sana na mambo ya mpira na ni shabiki mkubwa wa YANGA pale jangwani.
Yeyote anayemfahamu naomba msaada wake mimi napatikana kwenye 0754415306

Check na Yusuph Manji kama una namba yake au ofisi za Yanga Afrika SC . Sina shaka ni kijana wanaefahamika sana na wana Yanga pia.
 
Ndugu huyu mimi ni kaka yake ninayeishi kahama nimepotezana naye siku nyingi sina mawasiliano naye toka 1982 namtafuta kwa amani kama Ndugu yangu wa karibu.
 
Naitwa Masanja Elisha niko Kahama,Namtafuta Ndugu FRANCIS KASWAHILI ambaye yuko Dar-es-salaamu inasemekana anajihusisha sana na mambo ya mpira na ni shabiki mkubwa wa YANGA pale jangwani.
Yeyote anayemfahamu naomba msaada wake mimi napatikana kwenye 0754415306
.
Anamiliki Bar mtaa wa Zaramo, iko ghrofani opposite jengo la DTV/Channel Ten. Baa hiyo ilikikuwa na wahudumu wazuri balaa!, tatizo kila nikisafiri na kurudi nchini, nikitembelea hapo na kuanza kuulizia si wahudumu, si wateja, nakutana na jibu 'Wameshachomoka'.

Pia Kaswahili ndiye mmiliki wa bar nyingine iliyoko ndani ya CBE kule Nyuma. Data hizi ni za miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom